Gari Moshi Laua Watu 20 Misri

Rais wa Misri  Abdul Fattah al Sisi ametuma salamu za rambirambi kwa familia za marehemu waliopata  ajali ya treni katika njia kuu ya treni nchini humo na kusisitiza majeruhi wapate msaada wa haraka ili kuokoa misha yao. Takwimu za awali zinaeleza kuwa takribani Watu 20 wamekufa na wengine 40 kujeruhiwa kutokana na ajali hiyo iliyotokea […]

Continue Reading

Masauni : Tutasimamia Maadili Ya Polisi

Serikali imesema kuwa haitakuwa tayari kuona Jeshi la Polisi linachafuliwa na baadhi ya askari Polisi wasiofuata maadili huku ikisisitiza haitosita kumchukulia hatua askari atakayebainika kukiuka maadili Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni wakati akifunga mafunzo kwa Vikundi vya Ulinzi Shirikishi Visiwani Zanzibar ambapo jumla wa walinzi 681 walihitimu mafunzo […]

Continue Reading

Walioiga Sauti Ya Rais Watiwa mbaroni

Walioigiza sauti ya Rais kutapeli Polisi nchini Kenya wamewakamata watu saba wanaodaiwa kushirikiana kuigiza sauti ya rais Uhuru Kenyatta na maafisa wengine wa serikali katika kumuibia pesa nyingi mfanyabiashara tajiri nchini humo -Naushad Merali. Mmoja wa watu hao alimpigia simu Bwana Merali, ambaye ni Mwenyekiti wa Sameer Africa, aliigiiza sauti ya rais Uhuru kenyatta akimshawishi ampatie […]

Continue Reading

Na.Shamimu Nyaki -WHUSM Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt.Harrison Mwakyembe amewaagiza Maafisa Utamaduni wa Mikoa na Halmashauri nchini kusimamia na kutekeleza Sera ya Utamaduni ya Mwaka 1997 kwakua ni ndio muongozo wa kukuza na kuendeleza Utamaduni wa Nchi yetu. Mhe. Waziri ameyasema hayo leo Jijini Dodoma alipokuwa akifungua Kikao Kazi cha 11 […]

Continue Reading

Taasisi ya Tulia Trust yafanikisha kugharamia matibabu ya Amos

Taasisi ya Tulia Trust yafanikisha kugharamia matibabu ya kijana Amos Gabriel ya kwenda kutibiwa katika Hospitali Neurogen ya nchini India. Kijana huyo na mzazi wake wanatarajia kuondoka Machi Tatu ikiwa taratibu zote za matibabu zimeshafanyika pamoja na gharama Hospitali hiyo zimeshalipwa tayari. Akizungumza wakati kukabidhi Taasisi ya Tulia Trust na wadau mbalimbali wameweza kufanikisha sh. milioni […]

Continue Reading

Mvua Yasababisha Vifo Vya Watoto Wawili

WATOTO wawili wa familia moja wamefariki dunia huku watu 77 wakazi wa kijiji cha Mibungonanakwekwe wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza wakikosa makazi baada ya nyumba zao 16 kubomolewa kwa mvua iliyoambatana na upepo mkali. Watoto waliokufa katika tukio hilo baada ya kuangukiwa na ukuta wa nyumba walimokuwa wamelala wametambuliwa kuwa ni Nelson Benedictor (3) na Daison Benedictor […]

Continue Reading