DC Newala Apata Ajali

HABARI PICHA

Mkuu wa mkoa wa lindi akiwa na mkuu wa wilaya ya Mtwara Evod Mmanda(kulia ) wakimsindikiza mkuu wa wilaya ya Newala Aziza Mangosongo aliepata ajali jana usiku katika kijiji cha mandawa wilayani kilwa mkoani lindi na kukimbizwa katika hospital ya sokoine akiwa na majreuhi wengine watatu


M kuu wa wilaya ya Newala Aziza mangosongo akiwa tayari katika gari la wagonjwa kuanza safari ya matibabu Zaidi katika hospital ya MuhimbiliMkuu wa mkoa wa Lindi Godfrey Zambi,akimsalimia mkuu wa wilaya ya newala Aziza Mangosongo kabla ya kupewa rufaa 


 Mkuu wa mkoa wa lindi,Godfrey zambi akibadilishana mawazo na mkuu wa mkoa wa mtwara,Gelasius Byakanwa mara baada ya kumtakia hali mkuu wa wilaya ya Newala Aliepata ajali jana na kulazwa katika hospital ya sokoine Mjini Lindi Mkuu wa mkoa wa lindi,Godfrey zambi akiwa na mkuu wa mkoa wa mtwara Gelasius Byakanwa ,pamoja wakuu wa wilaya waliofika kumtakia heri Mkuu wa wilaya newala katika hospital ya sokoine


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *