Kili Marathon Mtanzania Ashinda Half Marathon

MICHEZO NA BURUDANI

Emmanuel Giriki  Mwanaliadha toka nchini Tanzania amefanikiwa kuibuka mshindi katika mbio za Kilometa 21 (half Marathon) Mashindano ya Kili Marathon yaliyofanyika  Moshi mkoani Kilimanjaro yanayohusisha nchi mbalimbali.

Mashindano hayo yaalihudhuriwa na Dkt. Harrison Mwakyembe ambayeni ni  Waziri wa Habari, Sanaa, Tamaduni na Michezo amawapongea washiriki waliohudhuria mashindano hayo.

Takribani watu 9000, toka nchi mbalimbali makampuni na watu binafsi walijiandikisha kukimbia mbio fupi na ndefu (Kilometa 21 na 42).

matukio mbali mbali katika picha


Wafanyakazi wa DataVision International

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *