Robert Pires Auponda Uongozi Chelsea, Ampaka Mafuta Mbappe

MICHEZO NA BURUDANI

Robert Pires, Mchezaji aliyewahi kung’ara na Klabu ya Arsenal, ameulaumu uongozi wa Klabu ya Chelsea kwa namna wanavyoishi na mameneja wa klabu hiyo.

Robert Pires, amemuelezea Maurizio Sarrikuwa ni kiongozi mzuri na mwenye historia nzuri ya mafanikio lakini wameshindwa kumtunza vyema.

Aidha Pires amemwagia sifa Kocha wa zamani wa Real Madrid, Zinedine Zidane na kumtaja kuwa ndio chagua bora zaidi la kuinoa klabu ya Chelsea na kuchukua nafasi ya Maurizio Sarri.

Katika hatua nyingine, Pires amemtabilia mazuri Kylian Mbappe kama mshindi wa Ballon d’Or katika siku za usoni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *