Rwanda Yakanusha Kufunga Mpaka Baina Yake na Uganda

KIMATAIFA

Wazara ya mambo ya nje wa Rwanda imakanusha taarifa zinaoagaa ya kwamba taifa hilo limefunga mpaka kati yake na Uganda.

Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika makao makuu ya wizara ya mambo ya nje mjini Kigali waziri mwenye dhamana Richard Sezibera amesema kuwa ”Shughuli ya ujenzi wa barabara katika mji wa mpakani wa Gatuna umefanya magari kuelekezwa katika mpaka wa Kagitumba,”

Aidha amesema kuwa kwa sasa uhusiano wa mataifa hayo mawili sio mzuri lakini wanatunashughulikiaswala hilo

#BbcSwahil

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *