Auwawa Na Simba Aliyemfuga

KIMATAIFA

Mwanamume mmoja toka mashariki mwa Jamhuri ya Czech aliyejulikana kwa jina la Michal Prasek (33) ameshambuliwa na kuuwawa na simba aliyemfuga nyumbani kwake

Simba huyo jike mwenye umri wa miaka 9 na simba aliyemfuga na Prasek kwa ajili ya kuzalish.

Babake Prasek aliviambia vyombo vya habari kuwa aliuona mwili wa manae ndani ya kizimba cha simba huyo huku mlango ukiwa umefungwa kwandani. aliupata mwili wake ndani ya kizuizi cha simba huyo na kuambia vyombo vya habari kwamba kilikuwa kimefungwa kwa ndani.

Msemaji wa polisi amewaambia waandishi habari kwamba ilikuwa muhimu kwa simba hao kuuliwa ili kumfikia marehemu.

BbcSwahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *