Mzimu CR7 Waitesa Madrid

MICHEZO NA BURUDANI

kufuatia kipigo cha magoli 4-1 wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani Santiago Bernabeu n ushindi wa ugenini wa 2-1 dhidi ya timu ya Ajax wiki mbili zilizopita hatimaye mabingwa watetezi wa klabu bingwa ulaya Real Madrid wametolewa katika hatua ya 16 bora.

Hivi karibuni kiungo wa timu hiyo Luka Modric alikiri kuwa timu yao haina mbadala wa Cristiano Ronaldo na wanamkumbuka sana,

Tangu aondoke aliyekuwa kinara katika safu ya ushambuliaji Cristiano Ronaldo Real Madrid imecheza msimu wake wa kwanza wa UEFA Champions League bila ya aliyekuwa kinara katika safu ya ushambuliaji Cristiano Ronaldo, kwani kwa miaka 9 toka (2010-2011) hawajawahi kutolewa hatua ya 16 bora au robo fainali.

Matokeo ya game za UEFA Champions League zilizochezwa usiku wa March 5 2019, Ajax na Tottenham zimefuzu robo fainali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *