Neymar Atekwa Na Mahaba Ya Mwanamuziki

MICHEZO NA BURUDANI

mchezaji wa timu ya Paris Saint Germain ya nchini Ufaransa mwenye uraia wa Taifa la soka (Brazil ) Neymar, anadaiwa kutoka kimapenzi na Msanii wa muziki wa Pop Anitta.

Hivi karibuni wakiwa Rio De Janeiro katika tamasha la Sambadrone wameonekana wakikumbatiana na ku-kiss kitu ambacho kinaaminika kuwa kuna uwezekano wawili hao wakawa mapenzini.

Anitta ni moja kati ya wasanii wa Pop maarufu nchini Brazil na Amerika ya Kusini na amekuwa akifanya kazi zake kwa kutumia lugha ya kireno.

Neymar alithibitika kuachana na girlfriend wake ambaye ni muigizaji maarufu nchini Brazil Bruna Marquezine toka October 2018.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *