Wanaanga Wagundua Shimo Lenye Upana Wa Mara Milioni 3 Ya Dunia

KIMATAIFA
Spread the love

Wanaanga wamefanikiwa kupiga picha shimo kubwa lenye upana wa mara milioni 3 ya upana wa Dunia ambalo linapatikana katika sayari ilio mbali.

Shimo hilo jeusi lipo umbali wa kilomita milioni 500  na ukubwa wa kilomita bilioni 40 lilipigwa picha na jumla ya darubini nane kote duniani.

Profesa heino Falcke wa chuo kikuu cha radboud nchini Uholanzi , ambaye alipenedekeza jaribio hilo, alimbia BBC kwamba shimo hilo lilipatikana katika sayari kwa jina M87.

Shimo hilpo lina uzito mara bilioni 6.5 zaidi ya Jua. na ni mojwawapo ya mashimo meusi ambayo tunadhani yapo. Ni dubwana kwa kweli, likiwa ndio shimo lenye uzito mkubwa zaidi ya yote ulimwenguni.

#BbcSwahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *