Lipumba Awataka WanaCUF Kuwa Na Msimamo

 leo Machi 19, 2019, Mwenyekiti wa Chama cha wananchi CUF, Prof Ibrahimu Lipumba katika mkutano wake na vyombo vya habari amawasihihi wapemba na wanachama wengine wa CUF kuwa na msimamo wa kisiasa aidha Amewataka wanachama hao kuchanganya akili zao na kutokurupuka kwa kumfuata Maalim Seif kwa kuhamia ACT-Wazalendo. Lipumba amesema yeye ni moja ya viongozi […]

Continue Reading

Kenya Yakanusha Kukumbwa Na Njaa

Serikali nchini Kenya imekanusha taarifa ziliilipotiwa na vyombo vya habari nchini humo, taarifa inasema kuwa nchi hiyo huenda ikakabiliwa na balaa la njaa kutokana na kutokuwepo kwa mvua za kutosha. Hivi karibuni vyombo vya nabari nchini humo viliripoti  kuwa Zaidi ya watu milioni 1.5, toka majimbo kumi na matatu yako katika hatari ya kukabiliwa na […]

Continue Reading

Auwawa Na Simba Aliyemfuga

Mwanamume mmoja toka mashariki mwa Jamhuri ya Czech aliyejulikana kwa jina la Michal Prasek (33) ameshambuliwa na kuuwawa na simba aliyemfuga nyumbani kwake Simba huyo jike mwenye umri wa miaka 9 na simba aliyemfuga na Prasek kwa ajili ya kuzalish. Babake Prasek aliviambia vyombo vya habari kuwa aliuona mwili wa manae ndani ya kizimba cha […]

Continue Reading