Gari Moshi Laua Watu 20 Misri

Rais wa Misri  Abdul Fattah al Sisi ametuma salamu za rambirambi kwa familia za marehemu waliopata  ajali ya treni katika njia kuu ya treni nchini humo na kusisitiza majeruhi wapate msaada wa haraka ili kuokoa misha yao. Takwimu za awali zinaeleza kuwa takribani Watu 20 wamekufa na wengine 40 kujeruhiwa kutokana na ajali hiyo iliyotokea […]

Continue Reading

Walioiga Sauti Ya Rais Watiwa mbaroni

Walioigiza sauti ya Rais kutapeli Polisi nchini Kenya wamewakamata watu saba wanaodaiwa kushirikiana kuigiza sauti ya rais Uhuru Kenyatta na maafisa wengine wa serikali katika kumuibia pesa nyingi mfanyabiashara tajiri nchini humo -Naushad Merali. Mmoja wa watu hao alimpigia simu Bwana Merali, ambaye ni Mwenyekiti wa Sameer Africa, aliigiiza sauti ya rais Uhuru kenyatta akimshawishi ampatie […]

Continue Reading