Rais Dkt. Magufuli Akutana Na Kufanya Mazungumzo Na Naibu Waziri Mkuu Na Waziri Wa Mambo Ya Nje Wa Qatar Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin Abdulrahman J.A. Al Thani, Ikulu Jijini DSM. Viongozi hao wamezungumzia uhusiano na ushirikiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na Qatar na dhamira yao ya […]

Continue Reading

CCM Yampongeza Maalim Seif

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amemsifu aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad kuhamia ACT-Wazalendo Polepole  amesema kuwa alichokifanya mwanasiasa huyo ni fundisho kuhusu siasa na utawala bora nchini.  “Utawala wa sheria unautaka Muhimili wa Mahakama kufanya kazi bila kuingiliwa, watu wanazo haki […]

Continue Reading

Waziri Mkuu Awatahadharisha Wadau Wa Madini

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa tahadhari kwa wadau wote wa madini kuwa atakayekamatwa anatorosha madini, atachukuliwa hatua za kisheria ikiwemo utaifishaji wa madini atakayokuwa akiyatorosha.  Pia amewataka viongozi na watendaji wote wa Serikali wasimamie kwa weledi, uaminifu na uadilifu, sheria, kanuni na miongozo kuhusu sekta ya madini kwa lengo la kudhibiti utoroshwaji wa madini hususan […]

Continue Reading