Makamu wa Rais awahimiza watu wenye ulemavu kutumia fursa zilizopo kujikwamua kiuchumi.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahimiza watu wenye ulemavu kutumia fursa zilizopo katika kujikwamua kiuchumi.  Makamu wa Rais ameyasema hayo leo kwenye hafla ya utoaji tuzo ya I CAN kwa watu wenye ulemavu iliyoandaliwa na Taasisi ya Dkt. Reginald Mengi Foundation, iliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Diamond […]

Continue Reading

Maalim Seif Ang’atushwa CUF

Mwenyekiti wa Chama cha wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemtangaza Khalifa Suleiman Khalifa kuwa katibu mkuu wa chama hicho. Aidha Profesa Lipumba amemtangaza mbunge wa Kaliua, Magdalena Sakaya kuwa naibu katibu mkuu Bara na Fakhi Suleiman Khatibu kuwa naibu katibu mkuu Zanzibar. Khalifa ambaye ni mbunge wa zamani wa Gando anachukua nafasi ya Maalim Seif […]

Continue Reading

Vyombo Vya Umma Vyatakiwa Kusimamia Haki Ya Upatikanaji Taarifa

VYOMBO  vya umma vimetakiwa kuwasimamia haki ya upatikanaji wa taarifa ikwa ni pamoja na kuwa wakala kwa mwananchi yoyote atakayehitaji kupata haki isipokuwa kama kuna sheria inayotoa ufafanuzi wa msingi kwanini zisitolewe. Hayo yamelezwa na Mkufunzi katika mafunzo kwa watumishi wa Mahakama yanayofanyika katika Hoteli ya Leopard mjini Moshi,Wakili James Marenga wakati akiwasilisha mada iliyohusu […]

Continue Reading

Mloganzila Yapatiwa Msaada Wa Vifaa Tiba Kwa Ajili Ya Kuwahudumia Wagonjwa Wenye Vidonda.

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila  imepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 15 ambavyo vitatumika katika vyumba vya upasuaji kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa wenye vidonda. Vifaa hivyo Caiman Lerrafuse HF Generator (GN 200) pamoja na Infovac Therapy System vimetolewa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya kina mama Prof. Sang Lyun Nam akiwa […]

Continue Reading