Simba Uso Kwa Uso Na Tp Mazembe

Na. William Kange Hii hapa droo ya Robo fainali, michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2019. • CS Constantine (Algeria) Vs Esperence (Tunisia) • Mamelodi Sundowns (S.Africa) Vs Al Ahly (Misri) • Horoya AC (Guinea) Vs Wydad Casablanca (Moroko) • Simba Sc (Tanzania) Vs TP Mazembe (Congo) Hatua ya kwanza ya Robo fainali itaanza kutimua […]

Continue Reading

TAKUKURU Ruksa Kumohoji Malinzi

Wakili wa Serikali wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), Leornad Swai kumhoji aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Jamal Malinzi na Katibu wake, Selestine Mwesigwa. Shauri hilo liliwasilishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi, Maira Kasonde, baada ya shahidi wa 11 katika kesi […]

Continue Reading

Mzimu CR7 Waitesa Madrid

kufuatia kipigo cha magoli 4-1 wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani Santiago Bernabeu n ushindi wa ugenini wa 2-1 dhidi ya timu ya Ajax wiki mbili zilizopita hatimaye mabingwa watetezi wa klabu bingwa ulaya Real Madrid wametolewa katika hatua ya 16 bora. Hivi karibuni kiungo wa timu hiyo Luka Modric alikiri kuwa timu yao haina […]

Continue Reading

Neymar Atekwa Na Mahaba Ya Mwanamuziki

mchezaji wa timu ya Paris Saint Germain ya nchini Ufaransa mwenye uraia wa Taifa la soka (Brazil ) Neymar, anadaiwa kutoka kimapenzi na Msanii wa muziki wa Pop Anitta. Hivi karibuni wakiwa Rio De Janeiro katika tamasha la Sambadrone wameonekana wakikumbatiana na ku-kiss kitu ambacho kinaaminika kuwa kuna uwezekano wawili hao wakawa mapenzini. Anitta ni […]

Continue Reading

Kili Marathon Mtanzania Ashinda Half Marathon

Emmanuel Giriki  Mwanaliadha toka nchini Tanzania amefanikiwa kuibuka mshindi katika mbio za Kilometa 21 (half Marathon) Mashindano ya Kili Marathon yaliyofanyika  Moshi mkoani Kilimanjaro yanayohusisha nchi mbalimbali. Mashindano hayo yaalihudhuriwa na Dkt. Harrison Mwakyembe ambayeni ni  Waziri wa Habari, Sanaa, Tamaduni na Michezo amawapongea washiriki waliohudhuria mashindano hayo. Takribani watu 9000, toka nchi mbalimbali makampuni […]

Continue Reading